• Contact us
  • FAQ
Tropical Pesticides Research Institute  (TPRI)

The United Republic of Tanzania

Tropical Pesticides Research Institute (TPRI)

Tropical Pesticides Research Institute  (TPRI)
  • About us
    • Mission and Vision
    • Who we are
  • Services
    • Research and Consultancy
    • Pesticides Managment Control
      • Pesticides Registration Procedures
      • Procedures for carrying out Pesticides Business
      • Registered Pesticides in Tanzania
    • Technical Services
  • Administration
    • Board of Directors
    • Director General
      • Legal Service Unit
      • Information and Communication Unit
      • Internal Audit Unit
      • Registrar
        • Pesticide Registration
        • Post Registration Surveillance
        • Analytical Laboratories
      • Procurement Management Unit
      • Planning, Monitoring and Evaluation Unit
    • Organization Structure
    • Departments
      • Directorate of Technical Services (DTS)
        • Pesticides Management and Environmental
          • Toxicology
        • National Herbarium of Tanzania
        • Post entry plant Quarantine station
        • National Plant Genetic Resources Centre
      • Directorate of Administration and Human Resources Management (DAHRM)
        • Works and Estates
        • Administration
        • Human Resources Management
      • Directorate of Finance and Accounts (DFA)
        • Accounts
        • Fixed assets
      • Directorate of Research and Training (DRT)
        • Crop Protection
        • Diseases and Vector Control
  • Publications
    • 2019
  • Contact
  • Tender
  • Vacancy
  • Media Centre
    • Press Relases
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
  • Training
    • Vector Managment
    • Pests Managment
  • TPRI Scientist Profile

Washiriki wa mafunzo ya Taaluma Maafumu ya Viuatilifu yaliyofanyika Mjini Mwanza wakifanya Mafunzo ya vitendo kwenye Shamba la MAHINDI

Posted On: June 21st, 2019

Washiriki wa Mafunzo  ya Taaluma Maalumu ya Viuatilifu yaliyofanyika Mjini Mwanza, kuanzia Tarehe  17/ 06 hadi 21 / 06 / 2019,  mafunzo yaliyoendendeshwa na Wataalamu kutoka Taasisi ya udhibiti wa Viuatilifu " Tropical Pesticides Research Institute (TPRI)" Arusha wakiwa kwenye mafunzo ya vitendo  shamba la MAHINDI wakijifunza utambuzi wa uwepo wa wadudu/visumbufu vamizi kama vile viwavijeshi na namna sahihi ya kutumia viatilifu ili kuwaangamiza na hatimae kufanya kilimo chenye tija. Pia Mratibu wa Mafunzo Ndugu Jumanne Rajabu kutoka TPRI aliwahasa washiriki kufanya kilimo kwa mfumo wa "Shamba ofisi", hapa alimaanisha kuwa wakulima wanapaswa kuwapo shambani muda mwingi ili waweze kufuatilia kwa karibu kilimo wanachofanya  na kuwanya utambuzi wa uwepo wa viashiria vya wadudu/visumbufu na kudhibiti katika hatua za awali kwa kutumia viuatilifu sahihi na kwa wakati, hii itamwepusha kutumia nguvu nyingi na gharama kubwa kudhibiti wadudu/visumbufu ikiwa wameshasababisha madhara.

Announcements

  • Provisional list of registered pesticides 2020 -June 15, 2020
  • More Announcements
  • NOTICE TO THE GENERAL PUBLIC -March 15, 2020
  • More Announcements
  • Pesticide Politics in Africa - An interdisciplinary international conference on the use, regulation and health effects of agrochemicals in sub-Saharan countries, the conference will be held from 28th to 31st May 2019 at TPRI Arusha, Tanzania. -May 10, 2019
  • More Announcements

Latest News

  • Kikao cha Bodi ya Wakurugenzi TPRI..

    August 2nd, 2019
  • More News
  • Maadhimisho ya Maonesho ya Nanenane 2019 Kanda ya kaskazini..

    August 8th, 2019
  • More News
  • Washiriki wa Mafunzo ya Taaluma Maalumu ya Viuatilifu Mjini Mwanza wakiwa wanaji..

    June 19th, 2019
  • More News
  • Washiriki wa Mafunzo ya Taaluma Maalumu ya Viuatilifu Mjini Mwanza wakiwa wanaji..

    June 19th, 2019
  • More News

Contact Us

    Tropical Pesticides Research Institute (TPRI)

    P.O. Box 3024 , Arusha - Tanzania

    Nairobi Rd, Ngaramtoni Area

    Fax : +255 272970468

    Telephone : +255 272970467 / 64

    Email : dg@tpri.go.tz


Quick Links

  • Agricultural Trade Managment Information System (ATMIS)
  • Facebook
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Government e-Payment Gateway - SP Portal
  • Web Mail
  • Provisional list of registered pesticides 2020
  • Pesticides Stock Managment System (PSMS)

Related Links

  • Utumishi
  • Ministry of Agriculture
  • Sokoine University of Agriculture
  • Selian Agricultural Research Institute
  • Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH )
  • National Electoral Commision
  • Government Portal

Recent Video

More Videos
  • Disclaimer
  • Privacy policy

Copyright ©2016 Tropical Pesticides Research Institute (TPRI). All rights reserved.
Designed and Developed by: e-Government Authority (eGA). Content maintained by: Tropical Pesticides Research Institute (TPRI)