Kaimu Mkurugenzi Mkuu Dkt. Efrem Njau aliyopo kushoto pamoja na Wajumbe wa Menejimenti na Wakuu wa Vitengo wamepokea gari aina ya Hillux Pick Up D/Cabin 2GD 2.44D kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ndugu Evarest Barakael, Gari hiyo imenunuliwa na Taasisi ya TPRI.
Tukio hilo limefanyika Makao Makuu ya TPRI yaliyopo Ngaramtoni-Arusha.
Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)
P.O. Box 3024 , Arusha - Tanzania
Nairobi Rd, Ngaramtoni Area
Fax : +255 272970468
Telephone : +255 272970467 / 64
Email : dg@tphpa.go.tz
Copyright ©2016 Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA). All rights reserved.
Designed and Developed by: e-Government Authority (eGA). Content maintained by: Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)