Chimbuko na Haja ya Mafunzo
Ni programu ya Serikali kupitia SAGCOT kwa makubaliano ya Halmashauri za Mikoa na Wilaya.
Lengo la mafunzo :
(a)Kujenga uwezo wa matumizi sahihi na salama ya Viuatilifu pamoja na udhibiti endelevu wa visumbufu katika ngazi za LGAs
(b) Kujenga uwezo wa utambuzi,udhibiti na usimamizi wa viuatilifu kwa wafanyabiashara wa Viuatilifu katika ngazi ya LGAs
(c) Kujenga uwezo wa ufahamu na uzingatifu wa sheria na kanuni za udhibiti wa Viuatilifu na utunzaji wa mazingira kwa ajili ya usalama wa watumiaji na mazao nchini na nje ya nchi.
Walengwa:
Maafisa Kilimo(AEO’s), Wafanya Biashara wa Pembejeo, Wakulima na Watumiaji wengine wa Viuatilifu.
Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)
P.O. Box 3024 , Arusha - Tanzania
Nairobi Rd, Ngaramtoni Area
Fax : +255 272970468
Telephone : +255 272970467 / 64
Email : dg@tphpa.go.tz
Copyright ©2016 Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA). All rights reserved.
Designed and Developed by: e-Government Authority (eGA). Content maintained by: Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)