Ikiwa ni siku chache zimepita tangu uzinduzi wa Mradi wa Huduma za Afya ya Mimea na Usalama wa Chakula Nchini uliofanywa na @anthonymavunde Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Tarehe 21 Septemba 2022 Mkoani Dodoma.
Mradi huu unaotekelezwa kwa bajeti ya jumla ya EURO Milioni 10.1 ikiwa na mashikirikiano ya ufadhili wa Jumuiya ya Umoja wa ulaya (EUR Milioni 9.5), Shirika la Umoja wa Mataifa la Kilimo na Chakula- FAO (EUR 350,000) na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (EUR 250,000).
Leo Septemba 29, 2022 katika Ofisi za Mkakao Makuu ya Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) Kaimu Mkurugenzi Mkuu Dkt Efrem njau ameongoza zoezi la upokeaji wa Pikipiki kumi na tisa (19) aina ya Honda maalumu kwajili ya shughuli za Kilimo ambazo zinatokana na Maradi Huo
Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)
P.O. Box 3024 , Arusha - Tanzania
Nairobi Rd, Ngaramtoni Area
Fax : +255 272970468
Telephone : +255 272970467 / 64
Email : dg@tphpa.go.tz
Copyright ©2016 Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA). All rights reserved.
Designed and Developed by: e-Government Authority (eGA). Content maintained by: Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)