Serikali imesema kamwe haitamvumilia mfanyabiashara atakae sambaza viuatilifu feki au vilivyo hisha muda wa matumizi.
Rai hii imetolewa leo Februari 18, 2022 na Waziri wa Kilimo Mh. Hussein Bashe katika ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa wadau wa Viuatilifu Nchini uliyofanyika Mkoani Dodoma, mkutano huo uliandaliwa na Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) kwa dhumuni la kujadili mambo mbalimbali yahusuyo Tasnia ya Vuatilifu hapa Nchini.
Mh. Hussein Bashe amesema wafanya biashara hao wamekuwa wakiharibu pato la mkulima na kudidimiza juhudi za kilimo hapa nchini hivyo kama sheria inavyompa mamlaka atawafutia lesseni zao.
Wadau wa viuatilifu waliohudhuria mkutano huo ni pamoja na watengenezaji, waagizaji, wasambazaji, wauzaji na watumiaji wa viuatilifu
Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)
P.O. Box 3024 , Arusha - Tanzania
Nairobi Rd, Ngaramtoni Area
Fax : +255 272970468
Telephone : +255 272970467 / 64
Email : dg@tphpa.go.tz
Copyright ©2016 Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA). All rights reserved.
Designed and Developed by: e-Government Authority (eGA). Content maintained by: Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)