Washiriki wa Mafunzo ya Taaluma Maalumu ya Viuatilifu yaliyofanyika Mjini Mwanza, mafunzo yaliyoendendeshwa na Wataalamu kutoka Taasisi ya udhibiti wa Viuatilifu "Tropical Pesticides Research Institute (TPRI)" Arusha wakiwa kwenye mafunzo ya vitendo kwenye shamba la NYANYA wakijifunza utambuzi wa wadudu / visumbufu vamizi na namna sahihi ya unyunyuziaji wa viuatilifu ili kuepusha uchafuzi wa mazingira. Pia washiriki walijifunza namna ya kutumia nozeli za kuangamiza magugu na nozel za kuangamiza wadudu / visumbufu kwenye shamba la NYANYA.
Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)
P.O. Box 3024 , Arusha - Tanzania
Nairobi Rd, Ngaramtoni Area
Fax : +255 272970468
Telephone : +255 272970467 / 64
Email : dg@tphpa.go.tz
Copyright ©2016 Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA). All rights reserved.
Designed and Developed by: e-Government Authority (eGA). Content maintained by: Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)