Kaimu Mkurugenzi Mkuu Dr. Efrem Njau aliyesimama katikati akiwa na wataalamu wa Mamlaka katika viwanja vya Mwakangale Jijini Mbeya, Mamlaka inashiriki maonesho ya Kitaifa yanayofanyika Jijini Mbeya na Kikanda katika kanda ya Kasikazini Jijini Arusha katika Viwanja vya Themi Njiro.
Wataalam wa Mamlaka wakiwa katika Viwanja wa Themi Njiro Jijini Arusha wakiwa tayari kutoa uduma kwa Wananchi wa kanda ya Kasikazini
Mamlaka inawakaribisha wanachi wote wa kanda ya nyanda za juu kusini pamoja na kanda ya Kasikazini kufika kwenye Mabanda ya Mamlaka ili muweze kuelimishwa kuusu Uduma mbalimbal zinazotolewa na Mamlaka ikiwa ni pamoja na Utaratibu mzima wa kusafilisha Mazao/Mimea Nje ya Nchi, Utaratibu wa Kusajili kiwatilifu apa Nchini, utaratibu wa kulipia vibari kwa kutumia mfumo wa ATMIS (Agriculture Trade management System, Matumizi sahihi na salama ya Viuatilifu, utambuzi na udhibiti wa Visumbufu mbalimbali katika mazao na Uduma mbalimbali zinazotolewa na Mamlaka.
Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)
P.O. Box 3024 , Arusha - Tanzania
Nairobi Rd, Ngaramtoni Area
Fax : +255 272970468
Telephone : +255 272970467 / 64
Email : dg@tphpa.go.tz
Copyright ©2016 Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA). All rights reserved.
Designed and Developed by: e-Government Authority (eGA). Content maintained by: Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)