• Contact us
  • FAQ
Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)

The United Republic of Tanzania

Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)

Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)
  • About us
    • Mission and Vision
    • Who we are
  • Services
    • Research and Consultancy
    • Pesticides Managment Control
      • Pesticides Registration Procedures
      • Procedures for carrying out Pesticides Business
      • Registered Pesticides in Tanzania
    • Technical Services
  • Administration
    • Board of Directors
    • Director General
      • Legal Services Unit
      • ICT and Statistics Unit
      • Internal Audit Unit
      • Pesticides Registration and Control Unit
      • Procurement Management Unit
      • Public Relations and Communication Unit
    • Organization Structure
    • Directorates
      • Directorate of Technical Services (DTS)
        • Pesticides Management and Environmental
          • Toxicology
        • National Herbarium of Tanzania Section
        • Post entry plant Quarantine Section
        • National Plant Genetic Resources Centre Section
      • Directorate of Corporate Services (DCS)
        • Finance and Accounts Section
        • Planning, Monitoring and Evaluation Section
        • Administration and Human Resources Management Section
      • Directorate of Research (DR)
        • Crop Protection
        • Diseases and Vector Control
  • Publications
    • 2019
  • Contact
  • Tender
  • Vacancy
  • Media Centre
    • Press Relases
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
  • Training
    • Vector Managment
    • Pests Managment
  • TPRI Scientist Profile

Ziara ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPHPA Prof. Joseph Ndunguru katika kituo cha AVRDC

Posted On: March 10th, 2023

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) Prof. Joseph Ndunguru aliyesimama kulia amewataka wataalamu wa mamlaka hiyo kushiriki kikamilifu katika utekelezaji ya makubaliano ya mashirikiano na kituo cha Africa World Vegetable Center (AVRDC) ili kuhakikisha nasaba za mimea zinakusanywa na kuhifadhiwa kwa wingi.

Prof. Ndunguru ameyasema hayo leo Machi 7,2023 baada ya kufanya ziara ya kutembelea ofisi za kituo hicho kinachojihusisha na utafiti,ukusanyaji na uboreshaji wa nasaba za mbegu za mboga mboga kilichopo Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha.

Aidha alisema kuwa katika mazungumzo waliyofanya wameweka makubaliano ya kushirikiana katika maeneo matatu na miongoni mwa makubaliano hayo ikiwa ni pamoja na kukusanya zaidi nasaba katika Genebank na kuchambua kwa pamoja nasaba za mbegu ambazo zimekwisha kukusanywa kwakutumia teknolojia za kisasa,

Pia kushirikiana katika Mafunzo kwa wataalamu ya kujengeana uwezo katika miundombinu ya uhifadhi wa nasaba na Afya ya mimea ambapo wamekusudia kuandaa kwa pamoja mafunzo kwa wataalamu ya kutambua visumbufu vya mimea kwa maana ya magonjwa, wadudu na pia teknolojia za kisasa za kugundua na kudhibiti visumbufu,

Na eneo la tatu ( 3) ikiwa ni kuwa na miradi ya pamoja ambapo Prof Ndunguru amebainisha kuwa miradi hiyo itawezesha kutafuta fedha kwaajili ya kutekeleza malengo ya taasisi zote mbili

Pia amebainisha kupitia mashirikiano hayo taasisi hizo mbili zitaweza kufanya mambo makubwa ikiwemo kuwashawishi wadau wa maendeleo wakawapatia fedha kwaajili ya kuendelea kutekeleza majukumu yao

Kupitia hayo ametoa wito kwa timu ya wataalamu watakaochaguliwa na Mamlaka na kituo hicho kwaajili ya kushughulikia makubaliano hayo kufanya kazi kwa bidii wakijua kuwa hayo yanafanyika kwa manufaa ya Watanzania wote.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa kituo hicho kanda ya Afrika ya World Vegetable Centre Ndg. Gabriel Rugalema aliyesimama kushoto amesema kuwa amefarijika kutokana uwepo wa makubaliano hayo mapya ya Mashirikiano kwani kama taasisi ya utafiti wamekuwa wakikumbana na changamoto mbalimbali ambazo kupitia mashirikiano hayo wanaimani zitatatuliwa kikamilifu

“Kama Mheshimiwa rais wetu anavyosema tukienda pamoja tutafika mbali, tukienda mmoja mmoja hatutofika kwa wakati na ushirikiano wetu utatusaidia kuweka rasilimali zetu kama watu,fedha na vifaa Pamoja na kuzitumia vyema” alisema Ndg. Rugalema

Aidha amemalizia kwa kusema kuwa kwasasa Dunia ipo katika mapambano ya janga la mabadiliko ya tabia ya nchi na TPHPA wanalojukumu la Kitaifa la kutunza nasaba ya mazao tofauti tofauti kwaajili ya kuyakinga na mabadiliko ya tabia ya nchi na AVRDC inayo jukumu la kidunia katika kutunza,kuchakata na kuboresha nasaba ya mazao ya mboga mboga kwa matumizi ya dunia nzima, kwahiyo kwa mashirikiano hayo wataweza kuweka nguvu za pamoja.

Katika ziara hiyo iliyolenga kufanya mazungumzo ya kuweka mashirikiano kati ya Taasisi hizo mbili Prof. Ndunguru aliambatana na wataalamu kutoka Mamlaka hiyo.

Announcements

  • TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAMLAKA YA AFYA YA MIMEA NA VIUATILIFU TANZAINIA KWA MWAKA 2022/2023 -March 10, 2023
  • More Announcements
  • Uteuzi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania -February 14, 2023
  • More Announcements
  • MAFUNZO YA MATUMIZI SAHIHI NA SALAMA YA VIUATILIFU MAKAO MAKUU YA TPHPA NGARAMTONI ARUSHA,TAREHE 07/11-18/11/2022 -October 07, 2022
  • More Announcements

Latest News

  • Mkutano wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPHPA Prof. Joseph Ndunguru na Vyombo vya Ha..

    March 10th, 2023
  • More News
  • Ziara ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPHPA Prof. Joseph Ndunguru katika kituo cha A..

    March 10th, 2023
  • More News
  • Mamlaka yapokea Pikipiki kumi na tisa (19) aina ya Honda Maalumu kwa ajili ya sh..

    September 29th, 2022
  • More News
  • Mheshimiwa Anthony Mavunde Waziri wa Kilimo Azindua mradi wa kuimarisha huduma z..

    September 21st, 2022
  • More News

Contact Us

    Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)

    P.O. Box 3024 , Arusha - Tanzania

    Nairobi Rd, Ngaramtoni Area

    Fax : +255 272970468

    Telephone : +255 272970467 / 64

    Email : dg@tphpa.go.tz


Quick Links

  • Agricultural Trade Managment Information System (ATMIS)
  • Instagram
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Government e-Payment Gateway - SP Portal
  • Web Mail
  • List of registered pesticides to date
  • Pesticides Stock Managment System (Registered Pesticices, Whole sale, Retailers, Importers and Fumigators)
  • Tpri Library

Related Links

  • TARI Ukiriguru
  • Ministry of Agriculture
  • Sokoine University of Agriculture
  • Selian Agricultural Research Institute
  • Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH )
  • National Electoral Commision
  • Naliendele Agricultural Research Institute (NARI)

Recent Video

More Videos
  • Disclaimer
  • Privacy policy

Copyright ©2016 Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA). All rights reserved.
Designed and Developed by: e-Government Authority (eGA). Content maintained by: Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)