Mkuu wa Kitengo cha Taifa cha Hifadhi ya Nasaba za Mimea - NPGRC kutoka TPHPA Bw William Hamisi amesema kuwa jukumu la kitengo hicho ni kuhakikisha wanaendeleza Na kuanzisha zaidi Benki hizo za mbegu na kutoa elimu ili kuendelea kuhifadhi nasaba za mimea hapa nchini zinazokaribia kupotea, hivyo wataendelea kuhakikisha wanatoa elimu zaidi, mbegu hizo zinatunzwa na Kusambazwa kwa wakulima
Ameyasema hayo May 18,2022 wakati wa ziara ya Wataalamu wa Kitengo cha Taifa cha Hifadhi ya Nasaba za Mimea - NPGRC na mradi wa Kilimo endelevu, ya kutembelea na kukagua maendeleo ya benki za mbegu za Jamii katika vijiji mbalimbali vya Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha
Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)
P.O. Box 3024 , Arusha - Tanzania
Nairobi Rd, Ngaramtoni Area
Fax : +255 272970468
Telephone : +255 272970467 / 64
Email : dg@tphpa.go.tz
Copyright ©2016 Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA). All rights reserved.
Designed and Developed by: e-Government Authority (eGA). Content maintained by: Tanzania Plant Health and Pesticides Authority (TPHPA)